Exodus 6:2-3

2 aPia Mungu akamwambia Musa, “Mimi ndimi Bwana. 3 bNilimtokea Ibrahimu, Isaka na Yakobo kama Mwenyezi Mungu,
Mwenyezi Mungu hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).
ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.
Copyright information for SwhKC